Tanzania

Safu ya Scania XT

Kwa changamoto ngumu

Ina nguvu kuliko hapo awali

Imebeba zaidi ya uzoefu wa miaka mia moja, safu ya Scania XT iko tayari kukabiliana na changamoto ngumu zaidi. Safu ya Scania XT inaweza kubinafsishwa ili kustahimili mazingira yenye changamoto, kupata wakati wa kufanyakazi na kuongeza tija, ili uweze kuendesha operesheni yenye faida. 

 

Safu ya XT inakuja na mfululizo wa vipengele vyenye nguvu. Kuendesha lori la XT kunaonyesha ubora wa kweli na ni ishara ya uimara na nguvu.

Bidhaa zetu mbali mbali

Wasiliana na muuzaji wako

Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.

Pata tawi letu lililo karibu na wewe.
Call us
E-mail us
E-mail Workshop
View Dealer Website
OPENING HOURS
ACCEPTED CREDIT CARDS