Malori
Washirika wanaoaminika
Biashara kwanza
Tunatengeneza lori zinazojenga biashara. Sio tu juu ya utendaji, kutegemeka na uchumi: ni juu ya maarifa ya Scania ya biashara yako. Malori ya Scania sio ya kawaida. Kwa mfumo wake maarufu wa moduli, inakupa uwezekano wa kujenga lori iliyojengwa kwa biashara ambayo ni muhimu pekee yake - Yako.
Kwa kukufahamu, tunaweza kutengeneza kifurushi ambacho kinaweza kukusaidia kuongeza faida yako kwa kiasi kikubwa. Malori ya Scania hufanya kazi na kushirikiana nawe ili kupunguza gharama za uendeshaji, kuongeza muda wa kufanya kazi na kuweka madereva salama, macho na starehe.
Mpangilio
-
-
-
-
Utengenezaji wa magari ya kielektroniki
15 Apr 2022 Udumishaji ni kipaumbele cha juu katika kampuni ya Scania na kubadilisha teknolojia za kutumia mafuta na kuanza kutumia teknolojia za umeme kama chanzo cha nishati ni sehemu muhimu ya kudumisha sekta ya usafiri. Mabadiliko ya kuacha kutumia teknolojia za kutumia mafuta na kuanza kutumia teknolojia za kutumia umeme kama chanzo cha nishati yanatendeka kwa kasi na kampuni ya Scania ina mpango wenye mbinu nyingi wa kuwezesha usafiri unaotumia umeme, ikiwa ni pamoja na kufanya utafiti wa aina mbalimbali za teknolojia mseto za kutumia mafuta yasiyotoa gesi ya kaboni na magari ya kutumia umeme pekee. Tumetoa ahadi ya kuzindua gari jipya la kutumia umeme kila mwaka kuanza sasa.
Wasiliana na muuzaji wako
Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.